MJEMA BLOG

JICHO LA MWANDISHI

  • RSS
  • Delicious
  • Digg
  • Facebook
  • Twitter

Aliyemuuza Bilionea Erasto Msuya anaswa

.Akamatiwa Kigoma akitorokea Burundi


Taarifa za uhakika zilizotufikia hivi punde ni kwamba polisi wamemtia mbaroni mtu anayeaminika ndiye aliyemuuza bilionea Erasto Msuya kwa wabaya wake ambao walimpiga risasi na kumuua.